• HABARI MPYA

  Saturday, September 15, 2018

  MWADUI FC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA MWADUI COMPLEX

  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia) akipambana na mchezaji wa Mwadui FC jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Mwadui Complex mjini Shinyanga. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
  Beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa (kulia) akitia krosi mbele ya beki wa Mwadui FC 
  Kiungo wa Azam FC, Joseph Mahundi (kushoto) akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Ndanda FC 
  Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akiwatoka wachezaji wa Mwadui FC
  Kikosi cha Azam FC kilichoanza katika mechi ya jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWADUI FC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA MWADUI COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top