• HABARI MPYA

    Tuesday, September 04, 2018

    NGOMA AMERUDI, AMEANZA MAZOEZI KIKAMILIFU AZAM FC

    Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma (kulia) akimiliki mpira mbele ya wachezaji wenzake wa Azam FC mazoezini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam
    Donald Ngoma aliyesajiliwa kutoka Yanga SC ameanza mazoezi kikamilifu baada ya kupona goti 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NGOMA AMERUDI, AMEANZA MAZOEZI KIKAMILIFU AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top