• HABARI MPYA

  Sunday, September 09, 2018

  AZAM FC NA REHA KATIKA PICHA LEO ASUBUHI CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yussuf akimiliki mpira mbele ya beki wa Reha FC katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam uliomalizika kwa sare ya 2-2
  Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akijaribu kutia krosi 
  Kiungo wa Azam Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwatoka wachezaji wa Reha FC  
  Winga Mghana wa Azam FC, Ennock Atta-Agyei akitia krosi mbele ya beki wa Reha 
  Beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Reha  
  Kiungo wa Azam FC, Salmin Hoza akimiliki mpira katikati ya Uwanja
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA REHA KATIKA PICHA LEO ASUBUHI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top