// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SUAREZ ASHINDA TUZO NYINGINE ENGLAND...SASA KIJANA RAHA TUPU LIVERPOOL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SUAREZ ASHINDA TUZO NYINGINE ENGLAND...SASA KIJANA RAHA TUPU LIVERPOOL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, May 13, 2014

    SUAREZ ASHINDA TUZO NYINGINE ENGLAND...SASA KIJANA RAHA TUPU LIVERPOOL

    MSHAMBULIAJI Luis Suarez ameongeza tuzo katika orodha yake ya tuzo, baada ya kutajwa ndiye Mchezaji Bora wa Msimu wa Ligi Kuu ya England 2013/14.
    Nyota huyo wa Liverpool amefunga mabao 31 na kutoa pasi 12 za mabao katika mechi 33 za Ligi Kuu alizocheza, huku timu yake Liverpool ikizidiwa kets kidogo na Manchester City katika mbio za ubingwa.
    Suarez, ambaye pia ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Wachezaji wa PFA na Mchezaji Bora wa Waandishi wa habari za Soka msimu huu, alinyakua tuzo ya nne msimu huh baada ya Kiatu cha Dhahabu cha Ligi Kuu England.
    Anahitaji kabati kubwa la mataji: Luis Suarez akionyesha tuzo sake mvili binafsi za Ligi Kuu EnglandGong: Suarez (with Young Player of the Year winner Eden Hazard) picked up the PFA award last month
    Na hii pia: Awali Suarez akiwa na mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa Mwaka, Eden Hazard alishinda tuzo za PFA mwezi uliopita
    Mpachika mabao huyo wa Uruguay, ambaye anajiandaa kukutana na England katika Fainali za Kombe la Dunia Juni 19, alimaliza msimu akiwa mfungaji bora- akimzidi kwa mabao 10 mchezaji mwenzake wa Wekundu hao, Daniel Sturridge.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUAREZ ASHINDA TUZO NYINGINE ENGLAND...SASA KIJANA RAHA TUPU LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top