• HABARI MPYA

    Monday, May 12, 2014

    MZEE DAALAL AIBUKA TENA UCHAGUZI WA SIMBA, SAFARI HII AMUWEKA BEGANI AVEVA

    Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba SC, Hassan Daalal leo amemsindikiza mgombea Urais, Evans Aveva kurudisha fomu za kuwania nafasi hiyo 
    Daalal na Aveva katikati ya umati
    Daalal alimkabidhi mpira Aveva, ambao mwenyewe ameuita mpira wa ushindi
    Aveva akikabidhi fomu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MZEE DAALAL AIBUKA TENA UCHAGUZI WA SIMBA, SAFARI HII AMUWEKA BEGANI AVEVA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top