• HABARI MPYA

    Tuesday, May 13, 2014

    MBEYA CITY KUANZA NA EL MERREIKH MICHUANO MIPYA YA CECAFA, RATIBA KAMILI HADI FAINALI HII HAPA

    Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam
    CECAFA, Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati limetoa ratiba ya michuano yake mipya, Nile Basin inayoshirikisha washindi wa Kombe la FA na washindi wa pili wa Ligi. 
    Ikumbukwe makundi yalifuja jana, Kundi A likiundwa na wenyeji El Merreikh, Victoria University ya Uganda, Malakia na Polisi, B kuna El Merreikh Al Fasher, Mbeya City, Elman ya Somalia na AFC Leopards ya Kenya.
    Kundi C lina timu za Al Ahli Shandiya Sudan pia, Al Masry ya Misri, Defence na Dikhil na Kundi D linaundwa na Hey Al Arab Arab Contractors ya Misri, Flambeau de l’Est ya Burundi na Etincelles ya Rwanda.
    Lakini mapema leo CECAFA imeitumia BIN ZUBEIRY ratiba kamili ya michuano hiyo, ambayo inaonyesha Mbeya Ciotu itaanza na El Merreikh Al Fasher Mei 23, mwaka huu mjini Khartoum Saa 2:00 usiku.

    Kazi mnayo wanaume: Mbeya City itaanza na El Merreikh Al Fasher katika michuano mipya ya CECAFA 

    RATIBA KAMILI HII HAPA;

    Mei 22, 14; 
    Victoria University Vs Malakia (Khartoum Saa 11:00 jioni)
    El Merreikh  Vs Polisi  (Khartoum Saa 2: 00 usiku) 
    Arab Cont. Vs Flambeau de l’Est  (Port Sudan Saa 11:00 joni)
    Hey Al Arab Vs Etincelles (Port Sudan Saa 2:00 Usiku)
    Mei 23, 2014
    AFC Leopards  Vs Elman (Khartoum, Saa 11:00 Jioni)
    El Merreikh Al Fasher Vs Mbeya City (Khartoum Saa 2:00 Usiku)
    Al Masry Vs Dikhil (Shandi Saa 11:00 Jioni)
    Al Ahli Shandi Vs Defence (Shandi Saa 2:00 Usiku)
    Mei 24, 2014
    Polisi Vs  Victoria University (Khartoum Saa 11:00 Jioni)
    Malakia Vs El Merreikh (Khartoum Saa 2:00 Usiku)
    Flambeau de l’Est  Vs Etincelles (Port Sudan Saa 11:00 Jioni)
    Arab Contractors Vs Hey Al Arab (Port Sudan Saa2:00 Usiku)
    Mei 25, 2014
    Mbeya City Vs AFC Leopards  (Khartoum  Saa 11:00 jioni)
    Elman Vs El Merreikh Al Fasher  (Khartoum Saa 2:00 Usiku)
    Defence Vs Al Masry (Shandi Saa 11:00 Jioni)
    Dikhil Vs Al Ahli Shandi (Shandi Saa 2:00 Usiku)
    Mei 26, 2014
    Polisi Vs Malakia (Khartoum Saa 11:00 Jioni)
    El Merreikh Vs Victoria University (Khartoum Saa2:00 Usiku)
    Arab Contractors Vs Etincelles (Port Sudan Saa 11:00 Jioni)
    Hey Al Arab Vs Flambeau de l’Est  (Port Sudan Saa  2:00 Usiku)
    Mei 27, 2014
    Elman Vs Mbeya City (Khartoum Saa 11:00 Jioni)
    El Merreikh Fasher  Vs  AFC Leopard (Khartoum Saa2:00 Usiku)
    Dikhil Vs Defence (Shandi Saa 11:00 Jioni)
    Al Ahli Shandi  Vs Al Masry (Shandi Saa 2:00 Usiku) 
    Mei 28, 2014; Mapumziko 
    Mei 29 na 30, 2014; Robo Fainali
    Juni 1, 2014; Mapumziko
    Juni 2, 2014; Nusu Fainali
    Juni 3, 2014; Mapumziko 
    Juni 4, 2014; Fainali na Mshindi wa tatu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBEYA CITY KUANZA NA EL MERREIKH MICHUANO MIPYA YA CECAFA, RATIBA KAMILI HADI FAINALI HII HAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top