![]() |
| Wachezaji wa Yanga wakiingia uwanjani tayari kwa mchezo wa leo, uliondaliwa na kampuni ya Prime Time Promotions. PICHA ZOTE KUTOKA JIACHIE BLOG |
![]() |
| Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya NMB, Imani Kajula akimkabidhi zawadi ya Sh. 500,000 mchezaji bora wa mechi ya leo, Frank Domayo wa Yanga. PICHA ZOTE KUTOKA JIACHIE BLOG |
![]() |
| Mashabiki wa Yanga wakishangilia soka maridadi ya timu yao kwa kuimba Uturuki, Uturuki, Uturuki...PICHA ZOTE KUTOKA JIACHIE BLOG |
![]() |
| Wachezaji wa akiba wa Leopard wakifuatilia mchezo. PICHA ZOTE KUTOKA JIACHIE BLOG |
![]() |
| 11 walioanza wa Leopard.PICHA ZOTE KUTOKA JIACHIE BLOG |
![]() |
| Makocha na wachezaji wa akiba wa Yanga wakifuatilia mchezo kwa makini .PICHA ZOTE KUTOKA JIACHIE BLOG |













.png)