• HABARI MPYA

  Wednesday, September 05, 2018

  TAIFA STARS INAVYOJIFUA TAYARI KUIFUATA UGANDA KESHO

  Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini jana jioni Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON Jumamosi dhidi ya Uganda mjini Kampala. Timu itaondoka kesho.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS INAVYOJIFUA TAYARI KUIFUATA UGANDA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top