• HABARI MPYA

  Wednesday, September 05, 2018

  MARCUS RASHFORD AKIIMARISHA MISULI YAKE GYM

  Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akifanya mazoezi ya kuimarisha misuli yake wakati timu ya taifa ya England ikijiandaa na mchezo dhidi ya Hispania Jumamosi usiku michuano ya Ligi ya Mataifa ya UEFA kabla ya kumenyana na Uswisi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MARCUS RASHFORD AKIIMARISHA MISULI YAKE GYM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top