Kipa namba moja wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes (kulia) akiwa benchi na wachezaji wenzake, Muhsin Makame, Shaaban Ada na Kevin Nashon Naftali kwenye benchi wakati wa mechi ya Mali jioni hii kufuzu Fainali za Afrika za U20 mwakani nchini Niger. Mali wanaongoza kwa mabao 2-1
Kipa Abdultwali Msheri wa Ngorongoro akiwa nyuma ya ukuta wa wachezaji wake wakati Mali wanapiga mpira wa adhabu nje kidogo ya boksi
Samadiare Dianka wa Mali akiinua mpira kiutaalamu kuelekea kwenye lango la Ngorongoro Heroes
Abdultwalib Msheri akiuangalia mpira unavyoupita ukuta wa Ngorongoro Heroes
Abdultwali Msheri akiushuhudia mpira unavyotinga nyavuni kuipatia Mali bao la pili leo
Kocha Mkuu wa Ngorongoro Heroes, Ammy Ninje (kushoto) akiwa na Wasaidizi wake, Juma Mgunda, kocha wa makipa Saleh Machuppa na Meneja Leopold Mukebezi 'Taso'
Nadal advances but Norrie beaten at Madrid Open
-
Rafael Nadal reaches the last 16 of the Madrid Open after a hard-fought
victory over Argentina's Pedro Cachin.
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment