• HABARI MPYA

    Friday, May 09, 2014

    SUPA STAA RONALDO NA TOTO LAKE WAKIANGALIA...

    Baba na mwana: Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akishuhudia mechi za tenisi za michuano ya Madrid Open akiwa katika eneo la Magic Box na mwanawe
    Have a listen to this: Cristiano Ronaldo Junior passes his headphones to his Dad as he watches the tennis
    Sikiliza hii: Cristiano Ronaldo Junior akimuwekea headphones baba yake wakati wanaangalia tenisi
    Working hard: Nadal stretches for a forehand as he beats Jarkko Nieminen 6-1, 6-4 in Madrid
    Anajituma: Rafael Nadal alimshinda Jarkko Nieminen kwa 6-1, 6-4 mjini na kutinga Robo Fainali za Madrid Open
    Dominant: Serena Williams progressed to the last eight in the Spanish capital with her 650th career victory
    Serena Williams pia ametinga Robo Fainali akipata ushindi wa 650 tangu aanze kucheza tenisi
    Last throw of the dice: Carla Suarez Navarro throws her racket at the ball as she suffers a straight-sets defeat
    Carla Suarez Navarro alipiga kitenisi na kuponyokwa na kipigo chake akipoteza mchezo huu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUPA STAA RONALDO NA TOTO LAKE WAKIANGALIA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top