// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); REAL MADRID WAJA DAR, RATIBA NZIMA... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE REAL MADRID WAJA DAR, RATIBA NZIMA... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, May 10, 2014

    REAL MADRID WAJA DAR, RATIBA NZIMA...

    REAL Madrid ya Hispania itafanya ziara Tanzania na lini watakuja itajulikana kesho katika Mkutano maalum na Waandishi wa Habari wa kutaja rasmi ziara ya klabu hiyo.
    BIN ZUBEIRY inafahamu Kampuni ya 1Plus Communications ya Dar es Salaam  chini ya Mkurugenzi wake, Fina Mango ndiyo waratibu wa ziara hiyo, ambayo hata hivyo itahusisha wachezaji waliowika kwenye klabu hiyo miaka ya nyuma.

    Maana yake tutarajie kuwapokea watu kama Ronaldo Lima, Luis Figo, Zinadine Zidane, David Beckham, Roberto Carlos na wengineo.

    Magwiji hao wa Real wamekuwa wakifanya ziara za mechi za kirafiki nchi mbalimbali duniani na sasa Tanzania inapata bahati ya kuwapokea nyota wa dunia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID WAJA DAR, RATIBA NZIMA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top