// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MIYEYUSHO NA MATUMLA MDOGO KATIKA PICHA JANA PTA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MIYEYUSHO NA MATUMLA MDOGO KATIKA PICHA JANA PTA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, May 11, 2014

    MIYEYUSHO NA MATUMLA MDOGO KATIKA PICHA JANA PTA

    Kitu kimefika; Konde la Mohamed Matumla likiwa limetua kwenye uso wa Francis Miyeyusho katika pambano lisilo la ubingwa uzito wa Bantam lililofanyika ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam. Miyeyusho alishinda kwa pointi.
    Miyeyusho naye amefikisha mzigo kwa Matumla
    Lilikuwa pambano kali
    Miyeyusho akipiga chini ya mkanda
    Matumla amefikisha mzigo kwa Matumla
    Wanaume wakionyeshana kazi na ufundi
    Unaona kazi hiyo...
    Kitu kilifika, kamera ilichelewa tu
    Mimi ndiyo kiboko yenu; Muyeyusho akitamba baada ya ushindi
    Fuata maelekezo yangu; Rashid Matumla akimuongoza mwanawe katika pambano la jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MIYEYUSHO NA MATUMLA MDOGO KATIKA PICHA JANA PTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top