• HABARI MPYA

  Thursday, May 03, 2018

  MWASHIUYA ANAWASALIMIA YANGA SAFARINI DUBAI

  Wachezaji wa Yanga, Beki Juma Abdul (kulia) na winga aliyepoteza ubora wake kwa sasa, Geoffrey Mwashiuya wakifurahi ndani ya ndege ya Emirates Air wakati wa safari ya kwenda Dubai leo kuunganisha ndege ya kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Kundi D Kombe la Shirikisho la Afrika dhidi ya wenyeji, U.S.M. Alger Jumapili mjini Algiers    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWASHIUYA ANAWASALIMIA YANGA SAFARINI DUBAI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top