Wachezaji wa Yanga, Beki Juma Abdul (kulia) na winga aliyepoteza ubora wake kwa sasa, Geoffrey Mwashiuya wakifurahi ndani ya ndege ya Emirates Air wakati wa safari ya kwenda Dubai leo kuunganisha ndege ya kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Kundi D Kombe la Shirikisho la Afrika dhidi ya wenyeji, U.S.M. Alger Jumapili mjini Algiers
Bucks' Damian Lillard Explains Game 6 Injury Decision: 'F--k It, I'm Going
to Play'
-
Damian Lillard missed Games 4 and 5 against the Indiana Pacers in the first
round of the NBA playoffs while dealing with an Achilles injury, but the
Milwau...
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment