• HABARI MPYA

  Friday, May 04, 2018

  GERRARD APEWA UKOCHA MKUU NA VIGOGO WA LIGI KUU SCOTLAND

  Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard akiwa ameshika skafu ya timu ya  Glasgow Rangers baada ya kutambulishwa leo kuwa kocha Mkuu wa klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Scotland, hiyo ikiwa ni timu yake ya kwanza ya wakubwa kuiongoza baada ya awali kufundisha timu vijana chini ya umri wa miaka 18 ya Liverpool tangu mwanzoni mwa msimu, kufuatia kustaafu soka mwaka 2016 akiwa na LA Galaxy ya Marekani aliyojiunga nayo mwaka 2015 kutoka Anfield alikoanza kama mchezaji wa timu ya vijana mwaka 1989 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GERRARD APEWA UKOCHA MKUU NA VIGOGO WA LIGI KUU SCOTLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top