Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard akiwa ameshika skafu ya timu ya Glasgow Rangers baada ya kutambulishwa leo kuwa kocha Mkuu wa klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Scotland, hiyo ikiwa ni timu yake ya kwanza ya wakubwa kuiongoza baada ya awali kufundisha timu vijana chini ya umri wa miaka 18 ya Liverpool tangu mwanzoni mwa msimu, kufuatia kustaafu soka mwaka 2016 akiwa na LA Galaxy ya Marekani aliyojiunga nayo mwaka 2015 kutoka Anfield alikoanza kama mchezaji wa timu ya vijana mwaka 1989 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Israeli strikes kill 14 in Lebanon as Israel warns residents to leave towns
beyond 'buffer zone'
-
April 26 () - Israeli strikes killed 14 people and wounded 37 on Sunday,
Lebanon's health ministry said, as the Israeli military warned residents to
leave ...
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment