• HABARI MPYA

    Wednesday, May 14, 2014

    TEVEZ ATEMWA ARGENTINA KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA LICHA YA KUTISHA KWA MABAO ITALIA

    MSHAMBULIAJI Carlos Tevez ametemwa kwenye kikosi cha awali cha Argentina kwa ajili ya Kombe la Dunia licha ya kufunga mabao 19 Serie A akiwa na Juventus msimu huu.
    Mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester zone  United na baadaye City, aliyehamia Italia msimu uliopita, hayuwamo kwenye kikosi cha wachezaji 30 wa Alejandro Sabella.
    Wamechemka: Tevez amefunga mabao 19 Serie A msimu huu ambao ni wa kwanza akicheza Italia

    KIKOSI CHA AWALI CHA ARGENTINA;

    Makipa: Sergio Romero (Sampdoria), Mariano Andujar (Catania), Agustin Orion (Boca Juniors)
    Mabeki: Pablo Zabaleta (Manchester City), Federico Fernandez (Napoli), Ezequiel Garay (Benfica), Marcos Rojo (Sporting Lisbon), Hugo Campagnaro (Inter Milan), Martin Demichelis (Manchester City), Jose Basanta (Monterrey), Nicolas Otamendi (Atletico Mineiro), Lisandro Lopez (Getafe), Gabriel Mercado (River Plate)
    Viungo: Javier Mascherano (Barcelona), Fernando Gago (Boca Juniors), Lucas Biglia (Lazio), Ever Banega (Newell's Old Boys), Ricardo Alvarez (Inter Milan), Augusto Fernandez (Celta Vigo), Jose Sosa (Atletico Madrid), Angel Di Maria (Real Madrid), Maxi Rodriguez (Newell's Old Boys), Fabian Rinaudo (Catania), Enzo Perez (Benfica)
    Washambuliaji: Lionel Messi (Barcelona), Gonzalo Higuain (Napoli), Sergio Aguero (Manchester City), Rodrigo Palacio (Inter Milan), Ezequiel Lavezzi (Paris Saint-Germain), Franco Di Santo (Werder Bremen)
    Star man: Barcelona forward Lionel Messi is certain of a place on Argentina's plane to Brazil
    Nyota zaidi: Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi ataiongoza Argentina nchini Brazil
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TEVEZ ATEMWA ARGENTINA KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA LICHA YA KUTISHA KWA MABAO ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top