• HABARI MPYA

    Tuesday, May 20, 2014

    SHEIKH MANSOUR WA MAN CITY ANUNUA HISA KLABU LIGI KUU JAPAN

    KLABU ya Manchester City imenunua hisa isiyozidi asilimia 20 katika klabu ya Ligi Kuu ya Japan, maarufu kama J-League, iitwayo Yokohama F-Marinos.
    Mmiliki wa City, Sheikh Mansour wa Abu Dhabi, tayari ameinunua klabu ya Melbourne Heart ya Australia na msimu ujao wataizindua klabu ya New York City FC ncini Marekani katika kujitanua zaidi kwenye biashara ya michezo née ya uwekezaji wa Manchester.
    Mtendaji Mkuu wa City, Ferran Soriano amesema: "Tunafurahi kuwekeza na kuchangia kuijenga YF Marinos.
    Watu wazito: Kutoka kushoto Mwenyekiti Khaldoon Al Mubarak, Mtendaji Mkuu, Ferran Soriano, Sheikh Mansour, kocha Manuel Pellegrini na Mkurugenzi wa Michezo, Txiki Begiristain

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHEIKH MANSOUR WA MAN CITY ANUNUA HISA KLABU LIGI KUU JAPAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top