Winga wa Crystal Palace, Wilfried Zaha akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Aprili baada ya kukabidhiwa kufuatia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kufunga mabao matatu katika mechi nne na kuiwezesha klabu yake kukusanya pointi nane kati ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
10 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment