Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger akipunga mikono kuwaaga mashabiki Uwanja wa Emirates, London katika mchezo wake wa mwisho kama kocha wa klabu hiyo baada ya miaka 22 jioni ya leo Washika Bunduki hao wakishinda 5-0 dhidi ya Burnley, mabao ya Pierre-Emerick Aubameyang mawili dakika za 14 na 75, Alexandre Lacazette dakika ya 45 na ushei, Sead Kolasinac dakika ya 54 na Alex Iwobi dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pakistani investigators visiting hospital nursery where fire killed 14
newborns
-
Investigators appointed by Pakistan's prime minister were making a visit
Thursday to the hospital nursery where a fast-moving fire killed 14
newborns, as g...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment