Wachezaji wa Paris Saint-Germain wakifurahia na Kombe la Ufaransa baada ya kuifunga timu ya Daraja la Tatu, Les Herbiers 2-0 mabao ya Giovani Lo Celso dakika ya 26 na Edinson Cavani dakika ya 74 kwa penalti jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris hilo likiwa taji lake la 12 la michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
10 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment