Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Liverpool dakika ya tisa wakifungwa 4-2 na wenyeji, Roma katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki mjini Roma. Bao la pili la Liverpool inayokwenda kwa fainali kwa ushindi wa jumla wa 7-6 baada ya kushinda 5-2 kwenye mechi ya kwanza, lilifungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 25, wakati mabao ya Roma yalifungwa na James Milner aliyejifunga dakika ya 15, Edin Dzeko dakika ya 52, Radja Nainggolan dakika ya 86 na 90 na ushei kwa penalti. Liverpool itakutana na Real Madrid iliyoitoa Bayern Munich katika fainali itakayofanyika Mei 26, mwaka huu Uwanja wa NSK Olimpiki mjini Kyiv, Ukraine PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Station entrance plans on hold due to access concerns
-
Plans for Scarborough Station are criticised for not having sufficient
areas for drop-offs.
8 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment