Bondia David Haye (kulia) akimtambia mpinzani wake, Tony Bellew leo wakati wa kupima uzito kuelekea pambano lao la Jumamosi usiku ukumbi wa 02 Arena, Millenium Dome, Greenwich. Hilo ni pambano la marudiano baada ya Bellew kushinda kwa Knockout (TKO) raundi ya 11 Machi 4 mwaka jana kufuatia Haye kuumia mguu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
O'Sullivan-Higgins match set for thrilling finish
-
The World Championship last-16 tie between Ronnie O'Sullivan and John
Higgins is set for a dramatic end after the Scot closed the deficit to two
frames.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment