Bondia David Haye akijisomba somba kuinuka baada ya kuanguka chini kufuatia kipigo cha mpinzani wake, Muingereza mwenzake Tony Bellew (hayupo pichani) katika pambano lisilo la ubingwa uzito wa juu jana ukumbi wa O2 Arena, London. Bellew alishinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya tano baada ya refa Howard Foster kusimamisha pambano kufuatia Haye kuanguka chini mara mbili raundi ya tatu. Hilo lilikuwa pambano la marudiano baada ya Haye kupigwa tena kw TKO Novemba mwaka jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
5-Year-Old Girl Disappears from Her Bed in the Middle of the Night amid
‘Suspicious Circumstances': Police
-
Sharon was last seen at her home in Alice Springs, Australia, on Saturday,
April 25
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment