Mshambuliaji Harry Kane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Tottenham Hotspur dakika ya 50, ikiilaza 1-0 Newcastle United usiku wa Jumatano wa Jumatano na kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kwa kujihakikishia kumaliza ndani ya timu nne za juu kwenye msimamlo w Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment