Mshambuliaji Mfaransa, Antoine Griezmann akibusu Kombe la Europa League baada ya kuiwezesha klabu yake, Atletico Madrid kulitwaa kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Olympique Marseille usiku wa Jumatano Uwanja wa Groupama mjini Lyon, Ufaransa yeye akifunga mabao mawili dakika za 21 na 49, kabla ya Gabi kufunga la tatu dakika ya 89. Griezmann anatarajiwa kujiunga na Barcelona baada ya kuipa taji hilo Atletico PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Donald Trump sends astonishing warning to Iran soccer team ahead of World
Cup
-
Iran has qualified for this summer's soccer showpiece, which is being
co-hosted by the United States, Canada and Mexico.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment