• HABARI MPYA

    Sunday, May 18, 2014

    PATI LA UBINGWA FA ARSENAL JANA, WENGER ASAULA WEMBLEY BAADA YA 'KULOA BIA'

    Miaka tisa, Kombe moja: Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger alilazimika kubadilisha shati lake baada ya alilokuwa amevaa kuloana bia alizomwagiwa na wachezaji wake wakati wa kushangilia ushindi wa 3-2 uliowapa Kombe la FA jana Uwanja wa Wembley, taji la kwanza kwa klabu hiyo na mocha huyo kwa ujumla baada ya miaka tisa.
    Raising spirits: Wenger is thrown into the air by the Arsenal side after the FA Cup win
    Juu juu: Wenger akiwa amebebwa juu juu na wachezaji wake jana
    Soaking: Wenger was soaked by his Arsenal players after their FA Cup win over Hull
    Anaogeshwa mbege: Wenger akimwagiwa bia na wachezaji wake
    Shower time: Wenger, visibly soaked, celebrates victory with his players
    Aogeshwe huyoo: Wenger akiwa amebebwa na kumwagiwa bia na wachezaji wake.
    Happy pair: Serge Gnabry and Alex Oxlade-Chamberlain enjoy winning the FA Cup
    Spanish duo: Cazorla and Nacho Monreal pose with the FA Cup
    Serge Gnabry na Alex Oxlade-Chamberlain, kushoto na Santi Cazorla na Nacho Monreal wakiwa wamepozi na Kombe la FA chumba cha kubadilishia nguo Uwanja wa Wembley jana
    We've done it: left to right, Santi Carzorla, Mesut Ozil, Per Mertesacker, Serge Gnabry, Lukas Podolski and Aaron Ramsey with the FA Cup in the dressing room at Wembley
    Kutoka kushoto ni Santi Carzorla, Mesut Ozil, Per Mertesacker, Serge Gnabry, Lukas Podolski na Aaron Ramsey
    Leading the celebration: Podolski celebrates with the Arsenal fans after the FA Cup final win
    Podolski akishangilia mbele ya mashabiki
    Hopeful: One Arsenal fan, sporting some interesting body art, looks on during the FA Cup final
    Mmoja wa mashabiki wa Arsenal akiwa kifua wazi kushangilia ubingwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PATI LA UBINGWA FA ARSENAL JANA, WENGER ASAULA WEMBLEY BAADA YA 'KULOA BIA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top