// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PATI LA UBINGWA ATLETICO MADRID JANA...ILIKUWA SI MCHEZO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PATI LA UBINGWA ATLETICO MADRID JANA...ILIKUWA SI MCHEZO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, May 18, 2014

    PATI LA UBINGWA ATLETICO MADRID JANA...ILIKUWA SI MCHEZO

    Mchora mipango: Kocha Diego Simeone akiwa ameinuliwa juu na wachezaji wake kushangilia ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga ambao ni wa kwanza kwao baada ya miaka 18, kufuatia safe ya 1-1 na Barcelona jana Uwanja wa Camp Nou
    Spraying: Players celebrate with the traditional spraying of champagne
    Wachezaji wakishangilia kwa kucheza, kuimba, kuruka na kumwagiana shampeni
    No trophy: The players were not able to celebrate with the La Liga trophy because Spanish FA president Javier Tebas could not make it to the game
    Pati bila Kombe: Wachezaji wakishangilia bila Kombe kwa sababu Rais wa FA ya Hispania, Javier Tebas hakutokea kwenye mchezo huo
    Filling the streets: Atletico Madrid fans hit the Neptuno fountain to celebrate after their club won the La Liga title by drawing 1-1 with Barcelona in the Nou Camp
    Mashabiki wa Atletico Madrid walifika eneo la Neptuno kushangilia ubingwa wao
    Singing and dancing: Supporters celebrate their first title in 18 years
    Kuimba na kucheza: Mashabiki wakishangilia taji la kwanza la La Liga baada ya miaka 18
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PATI LA UBINGWA ATLETICO MADRID JANA...ILIKUWA SI MCHEZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top