SERENGETI YAWAKABIDHI WAWILI USAFIRI VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO LEO
Meneja wa Bia ya Serengeti, Allan Chonjo (kushoto), akimkabidhi zawadi ya Bajaji ya shindano la Vumbua Hazina Chini ya Kizibo, mshindi, Richard Mbaze katika viwanja wa TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam leo sambamba na tamasha la Fiesta Soccer Bonanza.
Chonjo na mshindi
Mshindi wa pikipiki, Mbaraka
Mshindi wa pikipiki, Mbaraka akikabidhiwa zawadi yake
0 comments:
Post a Comment