Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria chini ya umri wa miaka 20,
Flying Eagles jana imeifunga timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri
wa miaka 20, Ngorongoro Heroes mabao 2-1 katika mechi ya kwanza ya Raundi ya
Pili, kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika. Hawa ni baadhi ya wachezaji
wa Flying Eagles katika benchi lao, kweli ni U20 hawa jamani? Hawa si Super
Eagles kabisa, tena wale wanaokaribia kutungika daluga!
Kody Clemens' Little League home run
-
Kody Clemens laces a Little League home run to right field, extending the
Twins' lead in the bottom of the 1st, 3-0
0 comments:
Post a Comment