Bendi ya Mashujaa, inayokuja kwa kishindo katika soko la
muziki wa dansi nchini, imefyatua video mpya, ya wimbo Risasi Kidole, ambayo
itazinduliwa baada ya mfungo wa mwezi mtukufutu wa Ramadhani. Meneja wa bendi
hiyo, Matrine Sospeter amesema video hiyo itaanza kuonekana kwenye vituo mbaolimbali
vya Televisheni nchini kote, wakati wowote kuanzia sasa. Pichani chini; kulia ni mwanamuziki
wa bendi hiyo na mtunzi wa wimbo huo, Chalz Baba akionyesha CD ya wimbo huo. Kushoto
ni Martine Sospeter.
|
0 comments:
Post a Comment