• HABARI MPYA

    Saturday, July 14, 2012

    MTOTO WA RAMBO AKUTWA AMEKUFA BAADA YA KUJI OVERDOSE


    NYOTA wa filamu za kibabe, Sylvester Stallone 'Rambo' amepata msiba, baada ya mwanawe wa kiume, Sage kukutwa amekufa leo.
    Taarifa za awali zinasema, kijana wake huyo mwenye umri wa miaka 36, alikutwa amekufa katika mjengo mmoja Los Angles na inasadikiwa 'aliji overdose' na maofisa wa Polisi wanachunguza kama kifo chake kilitokana na ajali au mauaji, kwa mujibu wa TMZ
    Tragedy: Sylvester Stallone's son Sage was found dead this afternoon in his Los Angeles apartment after a suspected drug overdose. He was 36, pictured here in 2006 in Hollywood
    MSIBA: Huyu ndiye mtoto wa Sylvester Stallone 'Rambo', Sage aliyekutwa amekufa mchana wa leo Los Angeles baada ya kuji overdose dawa za kulevya. Alikuwa ana umri wa miaka 36 na picha hii alipigwa mwaka 2006 huko Hollywood
    Pronounced dead at the scene: The coroner's van was spotted at Sage's home in Los Angeles along with news crews
    POLISI KATIKA ENEO LA TUKIO BAADA YA KUCHUKUA MWILI WA MAREHEMU
    Unresponsive: The filmmaker's body was taken straight to the coroner's office - and not to the hospital
    Red carpet smiles: Sage pictured in 1996 at the Hollywood premiere of Daylight with his father Sylvester and his now-wife Jennifer Flavin
    TABASAMU KWENYE ZULIA JEKUNDU: Sage alipigwa picha mwaka 1996 huko Hollywood katika uzinduzi wa Daylight akiwa na baba yake, Sylvester na mkewe Jennifer Flavin
    Sylvester Stallone's son Sage found dead in Los Angeles home after suspected drug overdose
    ALIIGIZA NA BABA YAKE: Sage alishiriki na baba yake mwaka 1990 katika movie la Rocky V, akicheza kama mtoto wa Rocky (Rambo) Robert Balboa.
    Before the heartbreak: Stallone was pictured yesterday with Arnold Schwarzenegger at the Comic Con event in San Diego
    HII JANA TU: Stallone alipigwa picha na Arnold Schwarzenegger katika Comic Con ya filamu huko San Diego
    Big boots to fill: Sage said he always worried about living up to his father's success, seen here together again in Rocky V

    IMETAFSIRIWA KUTOKA;  http://www.dailymail.co.uk


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MTOTO WA RAMBO AKUTWA AMEKUFA BAADA YA KUJI OVERDOSE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top