Kiungo wa Liverpool, Marko Grujic akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Fleetwood Town kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Highbury, Fleetwood mjini Lancashire. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Ben Woodburn, Lucas Leiva na Roberto Firmino mawili, wakati mkwaju wa penalti Danny Ings uliookolewa na Chris Neal baada ya Grujic kuchezewa faulo katika mchezo ambao Sadio Mane, Louis Karius na Joel Matip wote walianza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Peter FitzSimons reignites his feud with James Graham after the footy star
called him a 'parasite'
-
Columnist and renowned author Peter FitzSimons has reignited his ugly feud
with James Graham after the former footy star turned NRL commentator
recently ca...
57 minutes ago
0 comments:
Post a Comment