• HABARI MPYA

    Thursday, May 15, 2014

    WACHEZAJI WA SEVILLA WANYONYANA NDIMI KUSHEREHEKEA TAJI LA EUROPA LEAGUE

    KIUNGO Ivan Rakitic alikuwa nyota usiku wa jana wakati Seville ikiifunga Benfica kwa penalti na kutwaa taji la Europa League mjini Turin.
    Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Croatia alicheza soka ya kiwango cha nyota wa mchezo na kisha akamalizia kwa kunyonyana mdimi na beki wa zamani wa Reading, Daniel Carrico.
    Rakitic amekuwa mmoja wa viungo bora barani Ulaya kwa sass  kiasi cha timu kibao barani humo sass kuanza kuisaka huduma yake.
    Ulimi kwa ulimi midume: Ivan Rakitic akinyonyama ndimi na mchezaji mwenzake wa Sevilla, Daniel Carrico mjini Turin
    Silverware: Rakitic poses with the Europa League trophy after Sevilla beat Benfica on penalties
    Taji: Rakitic akiwa amepozi na taji Europa League usiku wa kuamkia leo baada ya Sevilla kuifunga Benfica kwa penalti.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI WA SEVILLA WANYONYANA NDIMI KUSHEREHEKEA TAJI LA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top