// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SUAREZ AWATIMUA REAL MADRID, BARCELONA NA 'MIHELA' YAO, ASEMA LIVERPOOL NDIYO KILA KITU KWAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SUAREZ AWATIMUA REAL MADRID, BARCELONA NA 'MIHELA' YAO, ASEMA LIVERPOOL NDIYO KILA KITU KWAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, May 16, 2014

    SUAREZ AWATIMUA REAL MADRID, BARCELONA NA 'MIHELA' YAO, ASEMA LIVERPOOL NDIYO KILA KITU KWAKE

    MSHAMBULIAJI Luis Suarez amesema anapenda maisha ndani ya Liverpool na hafikirii kuondoka Anfield.
    Nyota huyo wa Uruguay amemaliza msimu vizuri akiwa na Wekundu hap kwa kufunga mabao 31 na kutwaa tuzo za Mwanasoka Bora wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA) na ya Waandishi wa Habari za Soka.
    Mafanikio hayo yanakuja baada ya kupitia msimu mgumu uliopita akifungiwa kwa kumng'ata beki wa Chelsea, Branislav Ivanovic - akilazimisha kupita.
    Siondoki: Mshambuliaji Luis Suarez amesema hana mpango wa kuondoka Liverpool licha ya kutakiwa na vigogo wa La Liga, Real Madrid na Barcelona

    Sasa wakati tetesi za usajili zimeanza tena, Suarez, ambaye mapema wiki hii alikanusha kuwa na nia ya kuhamia klabu nyingine kubwa Ulaya, ameamua kuuheshimu mkataba aliosaini Desemba mwaka jana.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ambaye ameripotiwa kutakiwa na Real Madrid, ameiambia Sky Sports kwamba: "Nilisaini mkataba kwa sababu napapenda haps na nina furaha dana hapa. Ikiwa haunt furaha hapa huwezi kusaini mkataba wowote,".
    "Liverpool kwangu ni moja ya timu bora duniani, kwa sababu hakuna mtu haps katika chumba cha kubadilishia nguo anafikiri mimi no bora zaidi ya wengine na watu hapa ndani ya Melwood wanafanya kazi vizuri,"alisema.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUAREZ AWATIMUA REAL MADRID, BARCELONA NA 'MIHELA' YAO, ASEMA LIVERPOOL NDIYO KILA KITU KWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top