// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); STARS ILIVYOIANGUSHA ZIMBABWE JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE STARS ILIVYOIANGUSHA ZIMBABWE JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, May 19, 2014

    STARS ILIVYOIANGUSHA ZIMBABWE JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta kulia akiwatoka wachezaji wa Zimbabwe, Eric Chipeta (15) na Partson Jaure (2) katika mchezo wa kwanza wa mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2015 nchini Morocco, uliofanyika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Taifa Stars iliifunga Zimbabwe 1-0.
    Mbwana Samatta akimtoka Hardlife Zvirekwi 

    Mrisho Ngassa akimtoka Stephen Alimenda

    Thomas Ulimwengu akimtoka

    Mbwana Samatta akimtoka Danny Phiri

    Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' akipiga kichwa kuokoa mbele ya Peter Moyo

    Frank Domayo aliyekaa chini baada ya kuteleza kuondosha mpira miguuni mwa Stephen Alimenda wa Zimbabwe
    John Bocco akiwa ameruka juu kupigwa kichwa mbele ya mabeki wa Zimbabwe
    Mbwana Samatta akiwania mpira wa juu dhidi ya Milton Ncube

    Kikosi cha Taifa Stars jana

    Baadhi ya wadau wakijadiliana jambo kabla ya mchezo kuanza jana

    Shabiki mdogo wa Tanzania, akiibusu jezi ya timu hiyo huku akiwa ameshikavuvuzela kwa ajili ya kuishangilia timu hiyo jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STARS ILIVYOIANGUSHA ZIMBABWE JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top