KLABU ya Arsenal imetoa jezi mpya baada ya kutwaa Kombe la FA kusherehekea miaka 20 ya uhusiano wao na Nike ambao umefikia tamati mwishoni mwa msimu huu.
Ni jezi yenye mwonekano tofauti na jezi za miaka mini iliyopita Arsenal na zinakuja baada ya kumaliza ukame wa miaka tisa wa mataji.
The Gunners walitwaa Kombe la FA Jumamosi baada ya kuifunga Hull City 3-2 ndania ya dakika 120 Uwanja wa Wembley.
0 comments:
Post a Comment