// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RASMI, VAN GAAL KOCHA MPYA MAN UNITED, GIGGS ASTAAFU KUCHEZA NA KUWA MSAIDIZI WAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RASMI, VAN GAAL KOCHA MPYA MAN UNITED, GIGGS ASTAAFU KUCHEZA NA KUWA MSAIDIZI WAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, May 19, 2014

    RASMI, VAN GAAL KOCHA MPYA MAN UNITED, GIGGS ASTAAFU KUCHEZA NA KUWA MSAIDIZI WAKE

    HATIMAYE Manchester United imteua Louis van Gaal kuwa mocha wake mpya  baada ya kumfukuza David Moyes mwezi uliopita. 
    Mholanzi huyo amesaini Mkataba wa miaka mitatu wa kazi Old Trafford, na atasaidiwa na Ryan Giggs - ambaye ametangaza kustaafu soka.
    Frans Hoek na Marcel Bout wanajiunga na klabu hiyo kama makocha wengine wasaidizi, wakati Van Gaal - ambaye kwa sasa ni mocha wa Uholanzi anakuwa kocha wa kwanza wa kigeni katika klabu hiyo - ataanza kazi baada ya Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil.

    Mtaalamu wa Kihoanzi: Van Gaal ataanza kazi Man United baada ya kumaliza kuiongoza Uholanzi kwenye Fainali za Kombe la Dunia Brazil mwezi ujao

    Miezi 12 tangu Sir Alex Ferguson astaafu ukocha wa klabu hiyo, Van Gaal anaanzisha zama mpya katika mtindo mpya. 
    "Yalikuwa matarajio yang wakati wore kufanya kazi katika Ligi Kuu ya England. Kufanya kazi kama mocha wa Manchester United, klabu kubwa duniani, inanifanya nijivunie sana,"alisema. 

    WASIFU WA LOUIS VAN GAAL...

    Louis van Gaal attends a press conference
    Kuzaliwa: Agosti 8, 1951
    Umri: Miaka 62
    Alipozaliwa: Amsterdam, Uholanzi
    Klabu alizochezea: Ajax, Royal Antwerp, Telstar, Sparta Rotterdam, AZ Alkmaar
    Idadi ya mechi alizocheza: 333
    Idadi ya mabao aliyofunga: 34
    Klabu alizozifundisha: Ajax, Barcelona (two spells), AZ Alkmaar, Bayern Munich
    Timu za taifa alizofundisha: Uholanzi (2000-02 na 2012-hadi sasa)
    Mataji aliyoshinda akiwa kocha: Eredivisie (Ligi Kuu Uholanzi,1993-94, 1994-95, 1995-96, 2008-09), Kombe la UEFA 1991-92, Ligi ya Mabingwa Ulaya 1994-95, Super Cup ya UEFA (1995 and 1997), La Liga (Ligi Kuu Hispania,1997-98 na 1998-99), Copa del Rey (Kombe la Mfalme Hispania, 1997-98), Bundesliga (Ligi Kuu Ujerumani 2009-10
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RASMI, VAN GAAL KOCHA MPYA MAN UNITED, GIGGS ASTAAFU KUCHEZA NA KUWA MSAIDIZI WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top