• HABARI MPYA

    Sunday, May 18, 2014

    LONDON YACHAFUKA NA SHANGWE ZA ARSENAL

    MAELFU ya mashabiki wa Arsenal yalijimwaga mitaa ya kaskazini mwa Jiji la London kusherehekea taji la Kombe la FA Cup ambalo timu yao ililiitwaa jana  baada ya kuichapa Hull City mabao 3-2.
    Ushindi huo umekuwa faraja sana kwa sababu Arsenal haijatwaa taji lolote kwa miaka tisa sasa na haikuwa ajabu mashabiki wa timu hiyo kupagawa na ushindi huo.
    Arsenal ilipigana jana ikitoka nyuma kwa mabao 2-0 na kupata sare ya 2-2 baada ya dakika 90 kabla ya Aaron Ramsey kufunga bao la ushindi ndani ya dakika 30 za nyongeza.
    Hatimaye yametimia! Wachezaji wa Arsenal wakisherehekea na Kombe la FA leo
    Party time! Arsenal players, including Aaron Ramsey (R), lift the trophy in front of their fans
    For the fans: Supporters wave and take pictures of the Arsenal victory bus on a good day to be a Gooner
    To be a Gooner! Thousands of Arsenal fans have flooded the streets of Islington to celebrate their side's win
    Tottenham baiting: Jack Wilshere (C) to the opportunity to goad Arsenal's north London rivals
    Good turn out! Thousands of fans flooded the streets to celebrate with their heroes
    Umati wa mashabiki wa Arsenal mitaani 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LONDON YACHAFUKA NA SHANGWE ZA ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top