• HABARI MPYA

    Monday, January 14, 2013

    TENGA ABWAGA MANYANGA RASMI TFF

    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chillah Tenga ametangaza rasmi kutogombea tena uongozi wa shirikisho hilo, baada ya kulitumikia kwa miaka minane. Pichani ni Tenga mwenye umri wa miaka 58 akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF mchana wa leo. HABARI ITAFUATIA BAADAYE.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: TENGA ABWAGA MANYANGA RASMI TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top