• HABARI MPYA

    Wednesday, September 12, 2012

    BARCELONA WABADILI RANGI YA JEZI

    FC Barcelona
    Getty Images


    Jezi za ugenini za Barcelona kwa msimu wa 2013-2014 zitakuwa pia na rangi za nyekundu na dhahabu za bendera ya Katalunya, kwa mujibu wa gazeti la Sport la nchini humo. Mashabiki waliosubiri kwa miaka 113 kuona Bars of Aragon katika jezi za klabu yenye mafanikio zaidi hatimaye kiua yake itaisha msimu ujao.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA WABADILI RANGI YA JEZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top