Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, wakiwa katika kikao muda huu, makao makuu ya klabu, Jangwani. Hapa anakosekana Mwenyekiti tu, Yussuf Manji, na kikao kinaongozwa na Makamu wake, Clement Sanga kulia kabisa. Kikao hiki kinafuatia Yanga kufanya vibaya katika mechi zake mbili za awali za Ligi Kuu, 0-0 na Prisons mjini Mbeya na kufungwa 3-0 na Mtibwa Sugar. Je, nini kitatokana na kikao hiki? Endelea kufuatilia bongostaz.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment