Mbwana Ally Samatta, jana katika Ligi Kuu ya Vodacom Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) aliifungia timu yake Tout Puissant Mazembe mabao
mawili, ikishinda 5-0 dhidi ya Muungano FC. Mabao mengine ya TP Mazembe yalifungwa na Reinford Kalaba,
Nathan Sinkala na Luka Lungu.
0 comments:
Post a Comment