![]() |
| Boban akihojiwa na kujieleza kwa nini alikosa penalti- alijibu inatokea, ilimuumiza, lakini anashukuru timu imeshinda |
![]() |
| Cheki Danny Mrwanda anavyong'ara Simba, ndio nyumbani kwake |
![]() |
| Pongezi za ubingwa; Kab uru kushoto na Nyosso mbele kulia |
![]() |
| Masombo Lino amekiri Kaseja ni noma |
![]() |
| Kiggi akabidhiwa jezi ya Azam |
![]() |
| Pro Danny na swaga za pro kweli |
![]() |
| Ubingwa raha |
![]() |
| Milovan anaangalia saa dakika chache kabla ya mechi kwisha |
![]() |
| Uhuru na ubingwa |











.png)
0 comments:
Post a Comment