• HABARI MPYA

  Sunday, July 17, 2016

  JERRY MURO ALIVYOPIGA 'NAMBA 12' YANGA IKILAZIMISHWA SARE 1-1 NA MEDEAMA

  Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro ambaye amefungiwa mwaka mmoja na Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akiishangilia timu yake na bendera kubwa jioni ya Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Saalaam wakati ikimenyana na Medeama FC ya Ghana katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika uliomalizika kwa sare ya 1-1
  Jerry aliketi kwenye jukwaa la chini karibu kabisa na wanapotokea wachezaji kuingia uwanjani

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JERRY MURO ALIVYOPIGA 'NAMBA 12' YANGA IKILAZIMISHWA SARE 1-1 NA MEDEAMA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top