JERRY MURO ALIVYOPIGA 'NAMBA 12' YANGA IKILAZIMISHWA SARE 1-1 NA MEDEAMA
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro ambaye amefungiwa mwaka mmoja na Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akiishangilia timu yake na bendera kubwa jioni ya Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Saalaam wakati ikimenyana na Medeama FC ya Ghana katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika uliomalizika kwa sare ya 1-1
Jerry aliketi kwenye jukwaa la chini karibu kabisa na wanapotokea wachezaji kuingia uwanjani
0 comments:
Post a Comment