WATOTO WA MAREHEMU DK REMMY ONGALA WALIVYOPAGAWISHA KIGAMBONI
Wanamuziki wa bendi ya Ongala Classin, Godfrey Ongala (kulia) na Thomas Ongala (kushoto) wakitumbuiza kwenye ukumbi wa Nolasco Pub, Kigamboni, Dar es Salaam usiku huu
Watoto hao wa mwanamuziki gwij wa zamani nchini, Dk Remmy Ongala (sasa marehemu) walikonga nyoyo kwenye onyesho lao
Kutoka kulia God Ongala, Thom Ongala na mwanahisa mwenzao katika bendi hiyo, Jimmy Chizi
Pamoja na kupiga nyimbo zao, pia waliimba nyimbo za marehemu baba yao, ukiwemo 'Kifo' ambao uliowasisimua wengi ukumbini hapo
Watu wakifurahia burudani ya Ongala Classic Band ndani ya ukumbi wa Nolasco Pub
0 comments:
Post a Comment