Mcheza tenisi maarufu, Mmarekani Serena Williams akiwa amezimia uwanjani kwa furaha ya kutwaa taji la saba la Wimbledon mjini London leo baada ya kumfunga Mjerumani Angelique Kerber katika fainali ya wanawake kwa seti 2-0, akishinda 7-5 na 6-3 na kutimiza mataji 22 ya Grand Slam, hivyo kufikia rekodi ya Steffi Graf kama wanawake waliotwaa mataji mengi zaidi. Kwa ushindi huo, amezawadiwa Pauni Milioni 2 huku Angelique Kerber akipata Pauni Milioni 1 kwa kushika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Aussie cricket sensation Jake Fraser-McGurk sends strong message to
selectors that should have David Warner worried
-
Just days before Australia name their T20 World Cup squad, Jake
Fraser-McGurk has made an irresistible demand for a place with his latest
staggering innings.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment