Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (wa tatu kutoka kushoto) akiwa rafiki zake mbalimbali akiwemo mshambuliaji wa zamani wa Nyota Nyekundu na Yanga SC, Dennis Mdoe (wa pili kulia walioketi kwenye sofa ) mjini Saint Louis Missouri, Marekani jana baada ya sala ya Eid El Fitri. Hans Poppe yuko Marekani kwa mapumziko hadi mwisho wa mwezi. Mdoe aliyewahi pia kucheza timu ya taifa, kwa sasa anaishi Marekani alipokwenda mwaka 1990 akitokea Botswana alipokwenda kucheza soka ya kulipwa
Steve Erceg is the Australian Steve Carrell lookalike who was called up to
fight for a UFC title shot while devouring KFC... meet 'Astro Boy', the
most unlikely challenger in recent history ahead of fight in Rio de Janeiro
-
The response from plenty of MMA fans when they heard it would be Steve
Erceg taking on Alexandre Pantoja at UFC 301, was: 'Who?' The Australian
has bolted ...
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment